MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Msitake kupotosha watu kwa kuingiza mila na tamaduni zisizo za Kiislam kwenye Uislam.Amen
Kivipi?Msitake kupotosha watu kwa kuingiza mila na tamaduni zisizo za Kiislam kwenye Uislam.
Huyu ajuza yupooooMsitake kupotosha watu kwa kuingiza mila na tamaduni zisizo za Kiislam kwenye Uislam.
Unasherehekea mateso na ukimbizi?Kivipi?
FafanuaUnasherehekea mateso na ukimbizi?
Kivipi mkuu na nyie wenyewe ndio mmeandika sisi tunawasapoti??Msitake kupotosha watu kwa kuingiza mila na tamaduni zisizo za Kiislam kwenye Uislam.