Heri ya mwaka mpya wana JamiiForums mlipo popote pale

Amina, ambao hatujatekwa na serekali ya awamu hii ya kuteka teka, Mungu atuvushe salama 2020.
 
Kuna mwingine una mpa heri ya mwaka moya tayari yupo uchi anafanya uzinifu
 
Na wewe pia japokuwa wengine bado hatujauona.
 
Asante zimefika, hujatupa updates za shamrashamra za kufunga mwaka huko kwenu kwamtogole.
Huku kwetu tumesikitika sana baada ya Diamond kututema na kwenda Kigoma na ma celebrate ilhali tumemlea wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…