4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Sina mengi ya kuandika kichwa cha habari kinajieleza ,niwatakie heri ya mwaka mpya 2020 ,ukawe mwaka wa mafanikio popote mlipo Na mungu awabariki sana kwangu huu mwaka nauna kama mwaka miujiza mungu ataenda kutenda miujiza mpaka tutashangaa