Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana Binamu.
Sina mengi ya kuandika kichwa cha habari kinajieleza ,niwatakie heri ya mwaka mpya 2020 ,ukawe mwaka wa mafanikio popote mlipo Na mungu awabariki sana kwangu huu mwaka nauna kama mwaka miujiza mungu ataenda kutenda miujiza mpaka tutashangaa
Hahah nyie mngeweza kumtambika???Huku kwetu tumesikitika sana baada ya Diamond kututema na kwenda Kigoma na ma celebrate ilhali tumemlea wenyewe.
US of ANchi gani mkuu
Hongera.... Ila sahivi si tayari mkuuUS of A
Dunia yote ni mwaka mpya sasa.Hongera.... Ila sahivi si tayari mkuu
Haha sawasawa mkuuDunia yote ni mwaka mpya sasa.