Heri ya Mwaka Mpya wapenzi wangu hapa JF, nawapenda sana

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
850
Reaction score
2,019
Sina maneno mengi. Mapenz yangu kwenu ni ya kutoka moyoni mwangu.

Mwaka huu 2023 na ukawe faraja kwenu. Pale kwenye tumaini na Mungu aweke tumaini pale penye Nia Mungu akaihuishe iwe na itendeke.
 
Asante sana mdogo wangu. MUNGU akujalie mwaka huu uongeze gari la pili.
 
Edina na baba yake hawajambo? Kama vipi naweza kuwa baba mlezi wa Edina?
 
Heri ya mwaka mpya kwako pia mpenzi wetu
 
Ahsante sana mpenzi wangu, nawe uwe na mwaka mpya mwema na wenye heri dear🥰😘❤️
 
Amen, na kwako pia, heri ya mwaka mpya 2023. [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…