Heri ya Pasaka kwa wote ! Tusherehekee sikukuu hii kwa furaha na baraka. Tusiwasahau wenzetu kama Tundu Lisu na wengine; wape upendo na duaa. Mungu awabariki wote! π£π
Mungu na awe naye.
Tunajua yeye ni mpenda nchi yake.
Kabla hata hajapona majeraha ya risasi, aliamua kurudi nchini kwake.
Huyu ni mzalendo wa kweli.
Kuliko akina Madelu wanaovaa tai zenye alama ya bendera ya taifa, huku wakiiba mali zetu.
Heri ya Pasaka kwa wote ! Tusherehekee sikukuu hii kwa furaha na baraka. Tusiwasahau wenzetu kama Tundu Lisu na wengine; wape upendo na duaa. Mungu awabariki wote! π£π