Heri ya siku kuzaliwa kwangu.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Miaka kadhaa siku kama ya leo ndipo nlipoiona dunia.
Asante Mungu kwa zawadi hii ya Maisha

Herini ya mwaka mpya 2018 jf members na heri ya siku ya kuzaliwa kwangu.
 
Happy birthday...
Hongera kwa kuzaliwa mwaka mpya
 
Kwan ukitaja tarehe ulozaliwa kuna ubaya gan.. Eti miaka kadhaa mingap sasa... Idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…