Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amin nawe piaMaisha marefu kwa mwanao!
Karibuni wenzangu tuliozaliwa pamoja Tumshukuru Mungu Pamoja.
Amina. Kwa Mujibu wa Bibilia Takatifu na Mafundisho ya Kimungu yanayofundishwa na Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume, Namuomba Mungu aniwezeshe kutimiza matendo ya Huruma kwa Mwili na kwa Roho.Hongera sasa KAKA MUNGU AKAJALIE HERI NA FANAKA KTK SIKU ZOTE ZA UHAI WAKO..
USISAHAU KUTOA MSAADA KWA WAHITAJI..
Amina. Kwa Mujibu wa Bibilia Takatifu na Mafundisho ya Kimungu yanayofundishwa na Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume, Namuomba Mungu aniwezeshe kutimiza matendo ya Huruma kwa Mwili na kwa Roho.