Heri ya siku niliyozaliwa, Mungu mbariki mama yangu na siku hii takatifu 22/11

Happy birthday to you[emoji253] [emoji253] [emoji320] [emoji350] [emoji322]
 
Hongera sasa KAKA MUNGU AKAJALIE HERI NA FANAKA KTK SIKU ZOTE ZA UHAI WAKO..

USISAHAU KUTOA MSAADA KWA WAHITAJI..
Amina. Kwa Mujibu wa Bibilia Takatifu na Mafundisho ya Kimungu yanayofundishwa na Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume, Namuomba Mungu aniwezeshe kutimiza matendo ya Huruma kwa Mwili na kwa Roho.
 
Amen..!
Ubarikiwe KAKA

Back
Top Bottom