Habari wanajamii forum:
Leo ni siku maalumu kabisa aliyozaliwa my darling doughter,sister from another mother,darling in crime,sweetheart.......
Heaven Sent miaka kadhaa iliyopita.
Mpendwa napenda nikutakie heri na fanaka katika siku yako maalumu ya kuzaliwa, na zaidi zaidi Mungu akujaalie baraka zaidi na akutimizie yaliyo mema katika maisha yako, tena akupe kila lililo hitaji la moyo wako na akufanye the best of the best.
Sweetie yo the best.
Kaboom hongera kwa kukuza mpenzi, kaka
mito leo makavu pembeni mtoto asijelia,
Evelyn Salt gelofrend wako anataka pampers,
@benny tafadhali usimfuje huyu mtumishi wa Mungu, [USER=104131]everlenk mwambie
Eli79 leo ni maombi tu,
sumbai muachie biashara
cute b kwa leo uje tujumuike pamoja,
mshana jr bwana shee tafadhali usije na tunguli,
Guasa Amboni shemeji yangu mtoto kazaliwa,
kui karibu kabla hujenda uchagani,mpitie na
BAK.
Valentina Azarel Kakole Saint Ivuga Nifah Honey Faith Kaizer geniveros wambeke Patience123 Mentor RRONDO Rogie Freeland miss chagga housegirl Paulo Sergio De Souz
Na wapendwa wooote wanajf karibuni tujumuike kumpongeza na kumtakia heri mpendwa wetu
Heaven Sent katika siku yake ya kuzaliwa.
[/USER]