Mungu akujalie maisha marefu yenye afya njema na amani moyoni mwako.
Mapungufu kila mwanadamu anayo.
Kosa kubwa ulilowahi kulifanya ni kutopigania kuhakikisha nchi inapata kiongozi mzuri baada ya kipindi chako. Kosa hilo limeligharimu sana Taifa.
Tumia influence yako kuhakikisha nchi inapata katiba nzuri mpya ambayo itahakikisha nchi haitumbukii tena siku moja kwenye uongozi wa ajabu ajabu kama ilivyotokea 2015.