Namshukuru Mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine nashukuru kwa kuendelea kuwa na afya njema na nguvu na wengine humu ambao tuna kumbukizi za siku ya kuzaliwa muwe na maisha marefu.
ni kijana niliezaliwa katikati ya mwaka 1984 to 1987 najua kuna baba, mama, dada, kaka na wadogo zangu humu. Nawependa sana. You are just part of my family, kikubwa tuombeana uzima.