Soso J
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 1,976
- 1,223
Wakuu leo ndio kumbukumbu ya Tarehe na mwezi wa kuzaliwa kwangu miaka 30+ ya kuzaliwa kwangu!Namshukuru Mungu kwa Mwaka mwingine tena,nashukuru memba wote wa JF tunaendelea kuwepo kulijenga Taifa Kwa Namna mbali mbali.
KeKi leo kihome home tu,japo nategemea kupigwa maji meeeengi ofisini!!!♂️♂️[emoji1552]♂️[emoji1552]♂️
KeKi leo kihome home tu,japo nategemea kupigwa maji meeeengi ofisini!!!♂️♂️[emoji1552]♂️[emoji1552]♂️