Heri ya siku ya kuzaliwa kwangu

Heri ya siku ya kuzaliwa kwangu

Soso J

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Posts
1,976
Reaction score
1,223
Wakuu leo ndio kumbukumbu ya Tarehe na mwezi wa kuzaliwa kwangu miaka 30+ ya kuzaliwa kwangu!Namshukuru Mungu kwa Mwaka mwingine tena,nashukuru memba wote wa JF tunaendelea kuwepo kulijenga Taifa Kwa Namna mbali mbali.
KeKi leo kihome home tu,japo nategemea kupigwa maji meeeengi ofisini!!!‍♂️‍♂️[emoji1552]‍♂️[emoji1552]‍♂️
 
Hongera ila we bwa mdogo saana mwaka 1988 watu tulikuwa vidato...

Anyway ukubwa siyo sifa nimejistukia; ukubwa busara...

Jenga hekima kwa wanaokuzunguka; usiwe na maamuzi ya kukurupuka; usijipendekeze ili kupata riski; simamia unachokiamini; tenda haki panapostahili na mwisho heshimu utu wa mwanadamu mwenzio.

Ukitimiza hizi rules za ulimwenguni; utaishi maisha marefu yenye amani moyoni.
 
Mambo ya birthday waachie kina mama na watoto.

Alafu haya mambo nilidhani ni ya vijana wa kiume wa milenia, kumbe hata old school mnayapenda?

Mwanaume mzima unapata wapi muda wa kuwaza birthday? Inakusaidia nini? Inakuongezea nini?

Wazungu wametuharibia vijana. Sishangai Le mutuz a man over 60 years old analilia birthday.
 
Wakuu leo ndio kumbukumbu ya Tarehe na mwezi wa kuzaliwa kwangu miaka 30+ ya kuzaliwa kwangu!Namshukuru Mungu kwa Mwaka mwingine tena,nashukuru memba wote wa JF tunaendelea kuwepo kulijenga Taifa Kwa Namna mbali mbali.
KeKi leo kihome home tu,japo nategemea kupigwa maji meeeengi ofisini!!!‍♂️‍♂️[emoji1552]‍♂️[emoji1552]‍♂️
We ke au me?
 
tupo pamoja mkuu...heri ya kuzaliwa kwako na kwangu pia
 
Back
Top Bottom