We ke au me?Wakuu leo ndio kumbukumbu ya Tarehe na mwezi wa kuzaliwa kwangu miaka 30+ ya kuzaliwa kwangu!Namshukuru Mungu kwa Mwaka mwingine tena,nashukuru memba wote wa JF tunaendelea kuwepo kulijenga Taifa Kwa Namna mbali mbali.
KeKi leo kihome home tu,japo nategemea kupigwa maji meeeengi ofisini!!!♂️♂️[emoji1552]♂️[emoji1552]♂️
tupo pamoja mkuu...heri ya kuzaliwa kwako na kwangu piaWakuu leo ndio kumbukumbu ya Tarehe na mwezi wa kuzaliwa kwangu miaka 30+ ya kuzaliwa kwangu!Namshukuru Mungu kwa Mwaka mwingine tena,nashukuru memba wote wa JF tunaendelea kuwepo kulijenga Taifa Kwa Namna mbali mbali.
KeKi leo kihome home tu,japo nategemea kupigwa maji meeeengi ofisini!!!♂️♂️[emoji1552]♂️[emoji1552]♂️