Heri ya siku ya kuzaliwa Mhe. Esther Bulaya

Heri ya siku ya kuzaliwa Mhe. Esther Bulaya

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Leo ni siku ya kuzaliwa mbunge wabunda mjini mh Ester Amos Bulaya.

Tumtakie kila lililo jema kwenye safari yake ya kisiasa maana bado ni damu changa na kwa ulinzi wa mungu bado ana safari ndefu kwenye siasa.
1583219470376.png
Screenshot_20200303-094303.jpeg


In God we Trust
 
Amakweli akili ni nywere
huyu dada anata sana, ni mwanasiasa ambaye ukimtizama tu unadindisha badala ya kushuhulikia sera zake

In God we Trust
 
Back
Top Bottom