Heri ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika

Heri ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Tunapoadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika na baadae Tanzania, tujikumbushe maneno ya aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania na Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kuhusu Muungano wa Tanzania.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store
 

Attachments

  • VID-20241209-WA0034.mp4
    47.3 MB
Watanganyika mpaka muda huu tayari tuko nyuma kwa goli 3 kwa bila dhidi ya Wazanzibari! Na mbaya zaidi ndiyo kwanza tuko dakika ya pili tu ya mchezo!

Hivyo mpaka zitakapo malizika dakika zote 90, mtu asije akashangaa tukapokuwa tumefungwa magoli 100+ kwa bila na hawa jamaa zetu wasio na visogo.
 
Watanganyika mpaka muda huu tuko nyuma kwa goli 3 kwa bila dhidi ya Wazanzibari! Halafu ndiyo kwanza tuko dakika ya pili tu ya mchezo! Mpaka zitakapo malizika dakika zote 90, huenda tukafungwa hata magoli 100 na hawa jamaa zetu wasio na visogo.
Dah Tanganyika hamna kitu
 
Hiki ni kitu gani ndugu yangu?.
20241209_150636.jpg


Yaani sijaelewa au natakiwa kuelewa kwamba picha ya rais ina kuwa na maana gani hapo?.

20241209_150642.jpg
 
Nakupenda kwa moyo wangu wote,

Mama Tanganyika.

Asante
 
pale unapopata mpenzi mpya lazima usifie nchi..😂
 
Back
Top Bottom