Leo ni siku ya vijana duniani, ni vyema isipite hivi hivi bila kutia neno kwa vijana
Sore tunajua moja ya kundi lenye ushawishi na nguvu, ni vijana
Moja ya kundi ambalo hutajwa kama taifa la kesho ni vijana.
Japo vijana sio taifa la kesho tena, bali taifa la sasa.
Moja ya kundi ambalo likiunga mkono jambo fualani, lazima jambo hilo lipate uungwaji mkono ni vijana.
Na hii imepelekea vijana wengi kutumika, kuingizwa kwenye mitego mbali mbali.
Japo huko sio sana ambako nataka kukusemea tuachene nako.
Hapa nataka kusema changamoto za vijana.
Vijana ni moja ya kundi lenye changamoto nyingi sana, ambazo hupelekea vijana kuwa na migogoro mingi ya kimaisha.
Hasa kwenye vitu tunavyofanya ili kujikomboa, kiuchumi (carrier crisis)
Kupitia siku hii ya vijana duniani, nita share hapa njia na mbinu za kuzitumia kijana unapopitia migogoro hii (crisis)
1. Tafuta na uwafanye marafiki watu ambao wamekuzidi umri mpaka miaka 15, hawa watakusaidia walifanya nini kwenye vipindi vyao vya mpito.
2. Lakini ikukumbushe kwamba, migogoro mingi haisababishwi na wengine, wala sio jukumu la wengine dhidi yako, bali inaweza kuwa kukosekana kwa imani dhidi ya uwezo wako kwenye kukua na kujifunza.
3. Tafuta watu wako wa muhimu kwenye maisha, wape kipaumbele kwenye maisha yako. Waombe ushauri, wajulie hali ili ukipata matatizo isionekane unawatafuta kipindi cha shida tu.
4. Haijalishi ni wakati gani, anza kutengeneza ramani ya maisha. Jipe malengo ya muda mfupi na mrefu, inaweza kuwa miaka miwili miwili na mitano. Jitengenezee malengo ya kufikiwa kwa vipindi vinavyopimika.
5. Jitahidi kusherehekea kila kipindi kwenye maisha yako, maisha yana vipindi vingi vya mpito, ruhusu yajayo achana na yaliyopita. Sherehekea mafanikio yako hata, yakiwa kidogo.
#vijana #youth
#youthday #motivation
Pia soma:Agosti 12: Siku ya Kimataifa ya Vijana, Je, Sekta ya Digitali inatumika ipasavyo kuwaondoa Vijana kwenye Umasikini?