Taasisi ya Mifupa-MOI
Senior Member
- Apr 15, 2025
- 118
- 214
Asanteni, na kwenu pia.
Aisee!Asanteni, na kwenu pia.
Tunawapenda.
Nini?Aisee!
Boda boda akiona tu jina MOI, anahisi mguu umekatika tayari ingali anayo yoteNini?
Mimi nawapenda maana walishanitibia kaka yangu na akapona.
Kwanini nisiwapende?
Au wewe ni hodaboda, unawaogopa?
Ndio shida yao.Boda boda akiona tu jina MOI, anahisi mguu umekatika tayari ingali anayo yote
Uchaguzi Mkuu utasubiri kidogo, at least mmetumia akili mmejiupusha na mambo ya "Mama"