Ikiwa Leo ni Kilele Cha siku pendwa kabisa duniani,siku ya mwanamke,Napenda kuchukua fursa hii kumtakia heri Mjomba wangu GENTAMYCINE popote pale alipo ,Hakika Mjomba ni mama!
Mjomba baadae tukutane Kwa Mkapa Ili siku yako ikawe Bora na Murua kabisa pale ambapo timu yako pendwa ya Young Africans itakapokuwa ikiwashushia kipigo kizito Makolo!