Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hepi bethidei Waziri Mkuu.Leo ni siku ya Kuzaliwa kwa waziri mkuu wa 10 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu Kasimu Majaliwa. Namtakia heri ya siku yake ya Kuzaliwa na fanaka tele.