Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Asante na kwako piaLeo ni mkesha wa Sikukuu ya Noeli kwa Wakristo wote Ulimwenguni kusherehekea kuzaliwa kwa bwana Yesu Kristu.
Nami nichukue nafasi hii kuwatakieni nyote Noeli njema!
Merry ChristmasLEO umevuta ambayo haijakomaa
Amani ya Kristo itawale mioyoni mwetu, uwe na Christmas 🎄 njemaMerry Christmas
AmenMerry Christmas. Yesu pekee ndie njia kweli na uzima.
..itakuwa ya Singisi Arumeru ..tena mbichi kabisaLEO umevuta ambayo haijakomaa
Merry Christmas!..itakuwa ya Singisi Arumeru ..tena mbichi kabisa
Wewe Mzee Mgaya mbona title na content za mada haziendani Bwasheee?Christmas hii imejaa baraka zote za Mungu wa mbinguni nami nawatakia kila la kheri WanaJf wote, Wanasiasa na Watanzania wote Katika Siku hii
Tazama tumepewa mtoto mwanamme na uweza wa kifalme upo mabegani mwake
Merry Christmas!
Merry ChristmasYesu hajazaliwa December 25, Hiyo ni tarehe ya miungu ya kipagani
AmenHaleluya. Uweza wa kifalme utakuwa begani mwake. Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE (baba zetu tulionao ni wa muda tu), Mfalme wa amani (ukiwa na Yesu unakuwa mtu wa amani sana, hakuna kuwaza kuua watu ili umtee Yesu, Yeye ndiye hututetea sisi) Bariliwa sana nawe Yohana Mbatizaji. Mungu azidi kukupa hekima na busara (maana wewe ni moja ya watu wa muhimu hapa jukwaani, mwenye busara zako, unayeweza kuchukuliana na kila mtu) maana ukitaka kujua mtu huyu ni nani? Subiri aongee (aandike ya moyoni)
Merry Christmas bwashee!Wewe Mzee Mgaya mbona title na content za mada haziendani Bwasheee?
Huu uzi bila picha havinogiChristmas hii imejaa baraka zote za Mungu wa mbinguni nami nawatakia kila la kheri WanaJf wote, Wanasiasa na Watanzania wote Katika Siku hii
Tazama tumepewa mtoto mwanamme na uweza wa kifalme upo mabegani mwake
Merry Christmas!