Heri ya Sikukuu ya Noel wana JamiiForums nyote

Heri ya Sikukuu ya Noel wana JamiiForums nyote

Christmas hii imejaa baraka zote za Mungu wa mbinguni nami nawatakia kila la kheri WanaJf wote, Wanasiasa na Watanzania wote Katika Siku hii

Tazama tumepewa mtoto mwanamme na uweza wa kifalme upo mabegani mwake

Merry Christmas!
Wewe Mzee Mgaya mbona title na content za mada haziendani Bwasheee?
 
Haleluya. Uweza wa kifalme utakuwa begani mwake. Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE (baba zetu tulionao ni wa muda tu), Mfalme wa amani (ukiwa na Yesu unakuwa mtu wa amani sana, hakuna kuwaza kuua watu ili umtee Yesu, Yeye ndiye hututetea sisi) Barikiwa sana nawe Yohana Mbatizaji. Mungu azidi kukupa hekima na busara (maana wewe ni moja ya watu wa muhimu hapa jukwaani, mwenye busara zako, unayeweza kuchukuliana na kila mtu) maana ukitaka kujua mtu huyu ni nani? Subiri aongee (aandike ya moyoni)
 
Haleluya. Uweza wa kifalme utakuwa begani mwake. Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE (baba zetu tulionao ni wa muda tu), Mfalme wa amani (ukiwa na Yesu unakuwa mtu wa amani sana, hakuna kuwaza kuua watu ili umtee Yesu, Yeye ndiye hututetea sisi) Bariliwa sana nawe Yohana Mbatizaji. Mungu azidi kukupa hekima na busara (maana wewe ni moja ya watu wa muhimu hapa jukwaani, mwenye busara zako, unayeweza kuchukuliana na kila mtu) maana ukitaka kujua mtu huyu ni nani? Subiri aongee (aandike ya moyoni)
Amen
 
Christmas hii imejaa baraka zote za Mungu wa mbinguni nami nawatakia kila la kheri WanaJf wote, Wanasiasa na Watanzania wote Katika Siku hii

Tazama tumepewa mtoto mwanamme na uweza wa kifalme upo mabegani mwake

Merry Christmas!
Huu uzi bila picha havinogi

Japo kapicha tu ka Magufuli kanatosha kuwakilisha miradi hiyo yote.
 
Noheli nziza shuti zanjye.
 

Attachments

  • VID-20221225-WA0000.mp4
    6.7 MB
Back
Top Bottom