Heri ya Sikukuu ya Pasaka mwanafamilia wa JF

Heri ya Sikukuu ya Pasaka mwanafamilia wa JF

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
licha ya kuchelewa kutoa salamu zangu za pasaka kwako na kwa familia yako, nadhani bado ni muhimu sana walau kusema tu heri ya sikukuu ya pasaka mwanafamilia wa JF🌹

ukiachana huzuni na majonzi kwa matokeo ya vitu vingine tangu Ijumaa pale lupaso,
nimewiwa kutoa rai binafsi kwako, ya kuwa makini na mtulivu sana nyumbani na familia, na kujizuia kutoka kwenda kupata huzuni nyingine zaid mathalani za kiafya, fedheha nakadhalika.🐒

Furahia sikukuu hii kwa Furaha na kwa kiasi.
Japo kuna wengine ndio kwanza wametoka kuambukizana UTI sugu, fangas, gono, kaswende na pengine ukimwi muda huu, na sasa hivi ndio wametoka walikokua wamejisitiri, kuna wengine nao wamejipanga, wana miadi ya kwenda kuhuzunishana badae jioni kwa huzuni hizo hizo nilizozitaja 🐒

wengine ni vijana Lakini wengine ni watu wazima na familia zao.
hakikisha hupati maradhi hasa ya fedheha kwa kuficho katika siku kuu hii ya pasaka 2024...

Nawatakia nyote pasaka ya furaha na sio huzuni 🐒
 
Kwanza kabisa nakipongeza Chama Kwa ilani makini 2020-2025.

Pili, naipongeza Halmashauri Kuu ya Chama Kwa kutoa maelekezo sahihi.

Sikukuu chini ya uongozi makini imeisha salama
 
Back
Top Bottom