Kibogoyio2020
Senior Member
- May 4, 2018
- 154
- 77
Bot tunashauri hii kampuni ichunguzwe. Hawa ni wapiga dili muda mrefu. Uchunguzi uanzie miaka mitano kurudi nyuma.unakopeshwa 10.000.000 Kwa miezi sita kila mwezi unalipa 1.000.000 na baada ya miezi sita unawarudishia 10.000.000 kwa maana hiyo unakuwa umewalipa 6.000.000+10.000.00=16.000.000 Mimi sijasoma hesabu hapa riba ni kiasi gani? Bado wanakukata% ya kushughulikia mkopo pamoja na application fee. Hapa monduli wameuza nyumba janaDuh! Riba 100%!
SASA MNAKOPA ZA NINI ?Jf. Kampuni ya heritage financing company limited iliyoko Arusha mjini inyokopesha mikopo kwa riba ya 100% imeendeleza kilio nchini kwa kuuza nyumba za watanzania bila kufuata taratibu wala sheria za nchi yetu. Kila kona wananchi wanalizwa. Ukifika mahakama yeyote hapa Arusha utakuta kesi zaidi ya kumi ya hii kampuni. Waliowahi kuuziwa nyumba ,magari, viwanja, no kampuni hii. Tukutane hapa
Jamani heritage financing company limited iliyoko hapa Arusha Tanzania ni shida. Wanapenda riba kubwa, wanapenda kuuza mali za watu,wanapenda makesi mahakamani la kushangaza kupita kiasi mkurugenzi wa kampuni hii ni mlokole. ovaSASA MNAKOPA ZA NINI ?
nimepekua na kuwapata riba yao kwa mikopo ya dharura kweli ni juu km 60% na sio 100%
kwa ushauri km huna biashara usikope kabisa kwa kuweka dhamana nyumba
kiMahakama nyumba haiuzwi mpaka wakutangazie siku 74 miezi miwili na nusu na tena kwa kubandika Tangazo kwenye nyumba yako
Nahata kabla ya Dalali unaombwa wewe mwenyewe umtafute Dalali
kwa kipindi hico ukilipa Kesi inahama tena (kwanini usiiuze mwenyewe)
haya makampuni ya Financial intity yameruhusiwa kisheria kwa hiyo yaepukeni
Kwa upande wa kuthibiti riba serikali labda kwa makusudi au la imelizembea sana. Riba ya 100% ni mauaji ya halaiki na kuna vikampuni vingi tu mitaani vinatapeli na serikali ipo tu.nyumba inauzwa kwa amri ya mahakama, mahakama zetu huwa zinabariki mikataba hii haramu kwa nini?Nilisoma mahala ili mkataba uwe na nguvu ni lazima uwe halali. Riba 100% bot na tra wanajua hii!
Jamani heritage financing company limited iliyoko hapa Arusha Tanzania ni shida. Wanapenda riba kubwa, wanapenda kuuza mali za watu,wanapenda makesi mahakamani la kushangaza kupita kiasi mkurugenzi wa kampuni hii ni mlokole. ova