Heritier Makambo, usajili wa hovyo kabisa uliofanywa na mtani wangu.

Heritier Makambo, usajili wa hovyo kabisa uliofanywa na mtani wangu.

France wameenda world cup straicker Giroud ampigi kelele sasa Makambo mechi 9 bao 4 sijui wenzetu mnataka nini maana wanaolalamika kuusu Makambo sio yanga
 
Makambo Yuko powa Sana, pale mbele amekosa tu mtu wa kucheza nae ila movement zake unaziona kabisa anaitaji mtu wa pili wa kuendana nae Kama angekuepo ngoma angemfaa Sana
 
France wameenda world cup straicker Giroud ampigi kelele sasa Makambo mechi 9 bao 4 sijui wenzetu mnataka nini maana wanaolalamika kuusu Makambo sio yanga
Anaweza kumaliza msimu huu na goli hizo hizo nne, hamna kitu pale, bahati nzuri muda ni hakimu mzuri, muda utatupa jibu sahihi.
 
Makambo Yuko powa Sana, pale mbele amekosa tu mtu wa kucheza nae ila movement zake unaziona kabisa anaitaji mtu wa pili wa kuendana nae Kama angekuepo ngoma angemfaa Sana
Nakuhakikishia yule jamaa sio mchezaji kabisa
 
Anaweza kumaliza msimu huu na goli hizo hizo nne, hamna kitu pale, bahati nzuri muda ni hakimu mzuri, muda utatupa jibu sahihi.

Nakubaliana na maneno yako ya muda ni hakimu mzuri sasa tunawai nini kumuhukumu nakumbuka hata chirwa tulisema hivi hivi mpira ni mchezo wa muda mavugo kaachwa sio kwa kiwango chake bali maneno mengi ya washabiki
 
Mind you that nyota njema huonekana asubuhi mkuu,muhimu ni kwenu watani kutafuta striker mmoja wa uhakika, huyu hana uwezo binafsi wa kuibeba timu inapobanwa.
 
Hivi yule striker wenu mkali mliyesema ameingia mkataba asipofunga asilipwe mshahara.... Mmempeleka wapi.... Mavugooooooooo
 
Chirwa was far better worth compared to Makambo, huyu ni garasa kabisa, umenikumbusha na sie simba tuliwahi sajili mtu mmoja kutoka Cameroon anaitwa Ja Mba kama sijakosea, nae alikuwa garasa, ball control kwake ilikuwa mtihani mkubwa.
Hapa umeingia chaka,Jama Mba ulikuwa usajili wa Yanga huo mkuu.
 
Mtu anayesema Makambo sio striker mzuri hajui mpira..Chief Coach Zahera anawapa hasira wachezaji ili waongeze bidii...Kinachotakiwa kwa Makambo atafutiwe mtu wa maana wa kutengeneza nae pacha kama Chirwa au zaidi yake...Mikia wanachezesha strikers watatu mbona Bocco hafungi mko kimya...
 
Tulia wewe Mikia FC.
Hatimae atua
IMG-20181106-WA0000.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa mchezaji gani hana spid akiguswa kidogo anakaachini anajiona star Tanzania nzima hapambani kabisa
 
Makambo ni mshambuliaji butu.Nilishamwambia hata Balantanda humu.Quality yake ipo chini ya washambuliaji wengi sana kwenye ligi...ipo chini kabisa ya washambuliaji wa kati waliowahi kpita yanga hivi karibuni.Huwezi mlinganisha na Chirwa,Tambwe wa kale,Ngoma,Kavumbagu nk.

Kuna yanga flani mbovu sana ilitokeaga miaka ya 2000 mwanzoni ilikuwa na washambuliaji Abubakari Mnyambegu,Karume Songoro,Said Mhando,Geofrey Osama nk.Walikuwa wabovu ila Makambo ni mbovu zaidi ya wote.Our own Habib Kiyombo is miles far better than trash Makambo.Time is still telling....and it will tell more
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nimefanikiwa kutizama mechi kadhaa za Yanga Africa hasa hizi zilizochezwa uwanja ww taifa saa moja jioni nachelea kusema kwamba huyu jamaa hamna kitu pale, hamna striker mwenye hadhi ya kuwa katika klabu kubwa kama yanga, Marcel Kaheza ni bora kuliko huyu mkongomani, usajili huu ni upotevu wa rasilimali fedha kwa timu inayohaha kuchangisha fedha za kujiendesha, ushauri wangu ni wafanye juu chini wapate mshambuliaji wa uhakika kwenye dirisha dogo la usajili au waanze kumchezesha zaidi Amiss Tambwe ili kumjengea kujiamini zaidi huenda akawapa matokeo kuliko hili garasa.
Yangu ni hayo na povu kutoka kwa watani ni ruksa kabisa.
Sikweli ila hapati huduma stahiki toka kwa viungo wa Yanga,saiz hatuna winga za maana, kifupi Yanga tuna average players wengi sana
 
Muunganiko wa viungo kama winga wazuri hakuna pale yanga.. Ngassa anapataje namba?.. Yanga kwa sasa ina wachezaji wa kawaida mno huyo makambo mtamlaum buree
 
Mkuu Mnyakatari umenena vyema kabisa, pamoja na yanga hii kuwa na average players wengi ila basi ata juhudi binafsi za mchezaji mmoja zingeonekana, na hapa tungemuona huyo Makambo lakini hamna kitu, ahangaiki kuibeba timu ndio maana nasema huyo jamaa ni mzigo kwa watani wangu.
 
Back
Top Bottom