geofrey salanje
Member
- Aug 9, 2014
- 48
- 43
Anaweza kumaliza msimu huu na goli hizo hizo nne, hamna kitu pale, bahati nzuri muda ni hakimu mzuri, muda utatupa jibu sahihi.France wameenda world cup straicker Giroud ampigi kelele sasa Makambo mechi 9 bao 4 sijui wenzetu mnataka nini maana wanaolalamika kuusu Makambo sio yanga
Anaweza kumaliza msimu huu na goli hizo hizo nne, hamna kitu pale, bahati nzuri muda ni hakimu mzuri, muda utatupa jibu sahihi.
Mind you that nyota njema huonekana asubuhi mkuu,muhimu ni kwenu watani kutafuta striker mmoja wa uhakika, huyu hana uwezo binafsi wa kuibeba timu inapobanwa.Nakubaliana na maneno yako ya muda ni hakimu mzuri sasa tunawai nini kumuhukumu nakumbuka hata chirwa tulisema hivi hivi mpira ni mchezo wa muda mavugo kaachwa sio kwa kiwango chake bali maneno mengi ya washabiki
Hapa umeingia chaka,Jama Mba ulikuwa usajili wa Yanga huo mkuu.Chirwa was far better worth compared to Makambo, huyu ni garasa kabisa, umenikumbusha na sie simba tuliwahi sajili mtu mmoja kutoka Cameroon anaitwa Ja Mba kama sijakosea, nae alikuwa garasa, ball control kwake ilikuwa mtihani mkubwa.
Ila Makambo aliwafunga USM Algiers...Kageri aliambulia patupuYanga hawakuwa na hela ya kusajiri. Unamtaka mtu kama Kagere utampa nini, michango ya wanachama?
AjibuNi kweli kabisa mchezaji gani hana spid akiguswa kidogo anakaachini anajiona star Tanzania nzima hapambani kabisa
nafuu yeye kidogo anatengeneza nafasi na anauwezo Wa kufunga sio uyo makambo anajiona star amwangalii kagere anavyopambana au wakina bokoAjibu
Sikweli ila hapati huduma stahiki toka kwa viungo wa Yanga,saiz hatuna winga za maana, kifupi Yanga tuna average players wengi sanaNimefanikiwa kutizama mechi kadhaa za Yanga Africa hasa hizi zilizochezwa uwanja ww taifa saa moja jioni nachelea kusema kwamba huyu jamaa hamna kitu pale, hamna striker mwenye hadhi ya kuwa katika klabu kubwa kama yanga, Marcel Kaheza ni bora kuliko huyu mkongomani, usajili huu ni upotevu wa rasilimali fedha kwa timu inayohaha kuchangisha fedha za kujiendesha, ushauri wangu ni wafanye juu chini wapate mshambuliaji wa uhakika kwenye dirisha dogo la usajili au waanze kumchezesha zaidi Amiss Tambwe ili kumjengea kujiamini zaidi huenda akawapa matokeo kuliko hili garasa.
Yangu ni hayo na povu kutoka kwa watani ni ruksa kabisa.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hivi yule striker wenu mkali mliyesema ameingia mkataba asipofunga asilipwe mshahara.... Mmempeleka wapi.... Mavugooooooooo