Hermy B alifanya kazi za AY na FA ila kilichotokea miongoni mwao wanajua wenyewe, suala la kutokulipa hela kwa wasanii wakubwa wanapoenda studio kurekodi imekuwa kama fasheni jamani maproducer wanaumia na pia wamehangaika wapeni haki zao.
Wewe wasema na haujui nafanya nini mpaka sijaimaliza kuisoma hiyo barua yake ndefu btw haina umuhimu sana na haigusi maisha yangu ndio maana nimepata uvivu,tafuta thread ndefu iliyomuhusu kajala nikachangia alafu urudi kuthibitisha,za asubuhi lakini??
Harmy tangu uwe busy na TPF sikuiz hausikiki but ur still a good producer hommie.
ukitaka kumficha mwafrika...weka ujumbe kwa maandishi..
hta page moja ya kitabu haijafka unaona uvivu kusoma .....je ukipewa kitabu chenye page 500 je?
Ingekuwa hadithi ya mapenzi mkuu ungeisoma yote na huenda ungelalamika kwa nini imewahi kuisha.
Uvivu una kusumbua na ni zaidi ya ugonjwa
qn of sheba kama umemsoma vyema utagundua yale yaliyo tokea yali athiri kazi zao sana na ndio maana kaamua kuanza upya. Music wa Tanzania una katisha tamaa sana, hawa wasanii wetu ni wanyonyaji sana yani ukiangalia pesa wanayo ingiza alaf una kuta hata producer hajalipwa.
Wakina Maneck,Marcochali,Lamar,Shedy clever na wengine wana toa hit songs kila leo lakini ukija kuulizia wamelipwa Tsh ngapi utasikia aibu. Alaf hao hao wanyonyaji utawasikia wana piga kelele ooooooh tunaibiwa kazi zetu,oooooh tuna nyonywa........ Me nasema wanao iba kazi zao wasiache na waongeze zaidi hadi nao watakapo anza kulipa Maproducer.
Natamani ningesoma barua yote ila ntarudi baadae duh ndefu kama treni ya kwenda Kigoma.
Ndefu mnoooo
Kweli na maproducer sasa wadai haki zao na waache kujipendekeza kwa wasanii wakubwa wakati wanajua ni wanyonyaji. Kwanza beat ni mali ya producer ila utakuta katika kuuza millio ya simu msanii peke yake ndo anafaidika na producer ambaye ni mmiliki wa beat yupo kimya, wakati ana haki ya kuuza beat yake ileile hata kwenye mtandao wa simu au kwa msanii mwingine..
Inabidi Maproducer wakubaliane na kuacha kuendekeza wasanii, wasikubali kufanya kazi bure tena. Yani msaniii ana jitamba amejenga na kusema akaunt ya
Imejaa pesa huku producer akilia hajalipwa pesa yake.
Haaaaahaaa mimi asubuhi nliishia kati duh ile kusema ni ndefu nimenangwa utadhani nimeacha kusoma ripoti ya ofice vile,jana niliikuta kwa Millard Ayo nikashindwa kuimalizia pia.
Ukisoma hiyo barua hakikisha ndio umetoka kuoga na unakahawa pembeni kabisa ndefu kama rasimu ya Katiba?
Sasa anamlalamikia nani?Kaandika hotuba yeye mwenyewe anaona uvivu kuisoma.Najua umekasirika mpk ukaamua kunikashifu ila mwambie kashalalamika kwenye jamii what next?Tatizo siyo wewe bali utamaduni wako unakufanya usihangaishe ubongo wako , mpo wengi sana dizain kama yako. Laiti ungejua alichokiandika jamaa usingetapika uharo huo.
MKUU stata mzuka hawa wasanii wetu ni wanyonyaji sana wana ingiza hela nyingi kwenye music lakini hawalipi studio kabisa.
HIVI DIOMOND KWENYE NYIMBO ZAKE ANA LIPA TSH NGAPI/
HIVI MWANA FA ANA LIPA ngapi?
HIVI MADEE ANALIPA NGAPI?
HIVI JIDE ANA LIPA NGAPI/
HIVI AY ANA LIPA NGAPI?
HIVI KUNA ANAYE LIPA ZAIDI YA MILLION STUDIO?