Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Hermy B alifanya kazi za AY na FA ila kilichotokea miongoni mwao wanajua wenyewe, suala la kutokulipa hela kwa wasanii wakubwa wanapoenda studio kurekodi imekuwa kama fasheni jamani maproducer wanaumia na pia wamehangaika wapeni haki zao.
Hawa wasanii ni wanyonyaji sana wakianza kutozwa au kutakiwa kulipa wana hama studio. Mimi naona bora waendelee kunyonywa na kuibiwa kazi zao mtaani maana na wao wana wanyonya maproducer