Osmokalu Senior Member Joined Nov 13, 2015 Posts 186 Reaction score 148 Apr 6, 2019 #1 Ni muda gani wa kufanya mapenzi baada ya kufanyiwa operation ya hernia kwa mwanaume
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Apr 6, 2019 #2 Acha kuwaza uzinzi .kuu ngoja upone yes bishoo haswaaa
radicals JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 4,411 Reaction score 6,473 Apr 6, 2019 #3 Osmokalu said: Ni muda gani wa kufanya mapenzi baada ya kufanyiwa operation ya hernia kwa mwanaume Click to expand... hukumuuliza dokta aliyekupasua? thanks to god the almighty
Osmokalu said: Ni muda gani wa kufanya mapenzi baada ya kufanyiwa operation ya hernia kwa mwanaume Click to expand... hukumuuliza dokta aliyekupasua? thanks to god the almighty
Ligogoma JF-Expert Member Joined Aug 27, 2010 Posts 3,503 Reaction score 6,415 Apr 6, 2019 #4 Una miezi si chini ya sita, kutegemea na complications zilizojitokeza!! πππ Sikucheki, nakusikitikia mtu wangu! Ukipingana na dokta umefumua mshono ππππ
Una miezi si chini ya sita, kutegemea na complications zilizojitokeza!! πππ Sikucheki, nakusikitikia mtu wangu! Ukipingana na dokta umefumua mshono ππππ
Osmokalu Senior Member Joined Nov 13, 2015 Posts 186 Reaction score 148 Apr 6, 2019 Thread starter #5 Ligogoma said: Una miezi si chini ya sita, kutegemea na complications zilizojitokeza!! πππ Sikucheki, nakusikitikia mtu wangu! Ukipingana na dokta umefumua mshono ππππ Click to expand... πππ
Ligogoma said: Una miezi si chini ya sita, kutegemea na complications zilizojitokeza!! πππ Sikucheki, nakusikitikia mtu wangu! Ukipingana na dokta umefumua mshono ππππ Click to expand... πππ