Hernia

Hernia

Osmokalu

Senior Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
186
Reaction score
148
Ni muda gani wa kufanya mapenzi baada ya kufanyiwa operation ya hernia kwa mwanaume
 
Una miezi si chini ya sita, kutegemea na complications zilizojitokeza!! 😀😀😀

Sikucheki, nakusikitikia mtu wangu! Ukipingana na dokta umefumua mshono 😂😂😂😂
 
Una miezi si chini ya sita, kutegemea na complications zilizojitokeza!! 😀😀😀

Sikucheki, nakusikitikia mtu wangu! Ukipingana na dokta umefumua mshono 😂😂😂😂
😂😂😂
 
Back
Top Bottom