Hero syndrome - Hali ya kujisikia ushujaa

Hero syndrome - Hali ya kujisikia ushujaa

Rooney

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
3,781
Reaction score
3,931
English Audience.
Hero Syndrome is the condition where a person will intentionally create a dangerous situation just so they can "be a hero" and resolve it.The phenomenon has been noted to affect civil servants, such as firefighters, nurses, police officers and security guards.
Source from wikipedia
.
Hadhira wa kiswahili.
Kwa ufupi,ni ile hali ya kuunda tatizo hasa la hatari ambapo mtu huyo hua shujaa kwa kulitatua.
Vyanzo vyy wikipedia vinasema hili tatizo hutokea sana kwa wafanyakazi wa serikalini hasa zimamoto,manesi,polisi na walinzi N.k.
..
My take.
-personal naona hii ni tatizo la kisaikolojia (pschology disorder) linaloweza kumpata mtu yeyote yule sababu hili janga linasababishwa na

-watu kusaka attention isiyo na kichwa wala mguu

-mtu/watu kugundua akifanya jambo fulani linamfurahisha mtu/watu wengine hence nae kuenjoy furaha yao

-Mtu/watu kua na experience ya majanga na utatuzi wake hivyo kuenjoy ule utatuaji hence kupelekea kuanzisha janga awe front row kwenye kulisolve na a experience uke ushujaa

-sabbabu zipo nyingi ,nahitimisha na ni ujinga wa mtu binafsi,au kikundi cha watu kwa utashi wao kusaka ushujaa tu bila kufikiri prons and cons ya watakachoanzisha.
.
N.b- hero syndrome na saviour complex (messiah or christ complex) zntaka kufanana though,
Hero syndrome ni disorder inayoweza kua yenye uhalifu flani ndani yake sababu mtu huanzisha tatizo ili baadae alisolve na kua shujaa wa majanga alioanzisha wakati saviour complex ni hali ya mtu kufeel yeye ni majukumu yake kusaidia wengine wenye shida.
Till next time,
.
Somo litakua Saviour complex,alamsik'
images%20(9).jpeg
 
japo umeeleza kwa kifupi ila nashukuru kwa kuniongezea kitu na nitaenda kujifunza zaidi
 
Back
Top Bottom