Mara paaaap Deni limetoka mil 500 to mil 700 tutakomaa
Numbisa hebu niambie, hili deni tumeshalimaliza?
Siku Liverpool mkipewa kile kikombe pendwa basi na kijana atakua ameshamaliza deni lake
Amalize aisee, maana jana nilitaka kusikia zile nyimbo za Kwangaru, Aiyola, Matatizo na ule alifabya na Rich Mavoko ila bahati haikuwa.
Labda kwa saiv wanaweza kumuachia jumla maana kipindi kile walidhani zile nyimbo ndo zilizokua zinambeba.
Mkuu kuna mijitu ni mijinga sana yaani...Ndo mana bongofleva haikui kwa kua naashabiki maandazi kama nyie msanii akikua kidogo tu mnaanza kumfananisha na domo na ndo apo wanapopotea wengi yani wanaweka limit as if domo ndo kipimo cha mafanikio ya bongofleva afu sasa kibaya zaid wanapita mulemule alimopita yeye ndo wanapofeli zaid.
Sent using Jamii Forums mobile app