Hersi akiri Yanga imekiuka mkataba na SportPesa

Huwa naleta maandiko humu halafu kuna baadhi ya watu wanayadharau ila kuna wakubwa zenu wanantambua.

Press release zote za Yanga baada ya kusaini mkataba wa Haier zilikuwa zinaiweka Haier pale chini.



6/3/2023 - Press release ya leo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…