Inamana na kupita mlango tofauti ni sayansi au kiujumla Kwa anayezijua Simba na Yanga kuhusu uchawi hawezi bishana zile timu zote zinaloga na ndio sababu unaona zina hatua haziwezi fika mbali sababu uchawi sio kila mtu unaweza kumkamata
Wachezaji wa Yanga walitembea kwa miguu kutoka Uhasibu hadi uwanjani na hawakutumia milango rasmi ya timu. Kwa kuwa wacha mbuzi wote wamewaweka mfukoni hakuna aliyeliongelea hilo.