Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Unajipeleka afu watu wanakuuliza hivi mnavaa rangi gani?Sawa Mr kolo
Hii ni aibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajipeleka afu watu wanakuuliza hivi mnavaa rangi gani?Sawa Mr kolo
Wachezaji wa Yanga walitembea kwa miguu kutoka Uhasibu hadi uwanjani na hawakutumia milango rasmi ya timu. Kwa kuwa wacha mbuzi wote wamewaweka mfukoni hakuna aliyeliongelea hilo.Inamana na kupita mlango tofauti ni sayansi au kiujumla Kwa anayezijua Simba na Yanga kuhusu uchawi hawezi bishana zile timu zote zinaloga na ndio sababu unaona zina hatua haziwezi fika mbali sababu uchawi sio kila mtu unaweza kumkamata
Je Yanga inaweza kucheza fainali za club world cup kwakutumia hizo mbinu?Wachezaji wa Yanga walitembea kwa miguu kutoka Uhasibu hadi uwanjani na hawakutumia milango rasmi ya timu. Kwa kuwa wacha mbuzi wote wamewaweka mfukoni hakuna aliyeliongelea hilo.