Hersi amuonesha kiganja 5G Rais wa CAF na FIFA

Kwani jumapili haujaona?.
Saa 9 kabla ya mechi wale watoto waliambiwa waingie uwanjani wakaweke vitu.pale goli 4 za mchanga.na utopolo wana goli 1.ilibidi ubao usome 1-1.
HESHIMA KWA MGANGA
Usiwe kama ID yako ilivyo, kama kungekuwa kuna vitu vinawekwa isingeshindikana kuwa record wakati wanaweka. Lakini ukiangalia clip inaonesha tu kuwa wachezaji wanashika shika nyavu na wengine wapo kwenye upande wa kibendera wakiwa wanakanyaga kanyaga uwanja. Kwanini akili inawazaazisha ulozi badala ya ukaguzi wa uwanja? Kwanini hiyo video haioneshi kitu kinatupiwa au kinamwagiwa uwanjani?
 
Hakuna cha kushika shika nyasi wala nini.yale yalikuwq maagizo ya mganga.simba haijawa mbovu mpaka kufungwa goli 5.sisi tunajua tulicheza NA MAJINI
 
Yaani ushindwe kumfunga power dynamo halafu utegemee kuachwa salama na Yanga. Yaani kila mechi unaruhusu goli halafu utegemee kuwa salama kwa Yanga. Timu yako ni mbovu, hata Al Ahly wachezaji wangekuwa makini wangekulamba goli saba.
 
Wahi pale jangwani makao makuu mkakoe mafaili ya mikataba inakwenda na maji
 
Attachments

  • 20111221_121026.jpg
    20111221_121026.jpg
    50.6 KB · Views: 1
Hakuna cha kushika shika nyasi wala nini.yale yalikuwq maagizo ya mganga.simba haijawa mbovu mpaka kufungwa goli 5.sisi tunajua tulicheza NA MAJINI
Ni swala la kikanuni timu ya ugenini kukagua uwanja siku ya mchezo husika. Pia hiyo ilikua mechi kubwa ya mahasimu.
Yanga wamewekeza nguvu zao kwenye sayansi bora ya mpira kama vifaa vya mazoezi, camp nzuri, benchi nzuri la ufundi na uongozi bora.
Kama huoni kuhusu hili basi uwezo wako wa utambuzi unatatizo kubwa
 
Weka hyo kanuni
 
Eng . HERS AMEKOSEA SANA.

Leo Hers akiwa South Africa, ameshuhudia derby kati ya Kaizer Chief na Orlando pirates akiwa pamoja na Rais wa FIFA, Pamoja na raisi wa CAF.

Kitu alichokosea, ameanza kuwasimulia jinsi Yanga ilivyomfunga simba goli 5.

Raisi wa CAF amecheka, Rais wa FIFA amempia salute.

Utani wetu wa jadi ubaki nyumbani si kimataifa. Kulikuwa na haja gani kusema simba alifungwa 5 mbele ya Raisi wa FIFA?.

Mbona hajawataja KMC?

Ameidhalilisha simba kimataifa...na inaweza kuwa na athari hasi kwa simba kama ikitokea fursa kutoka juu

Video clip kwa comment [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji849][emoji849]View attachment 2811096
ameulizwa mlifunga ngapi kwenye derby,ndio kajibun5 sasa ana kosa gani?
 
Back
Top Bottom