Hersi amuonesha kiganja 5G Rais wa CAF na FIFA

Yah hapo kakosea maana Simba wenyewe wanaficha hii taarifa isiende mbali wasijekuonekana underdog
 
Eng . HERS AMEKOSEA SANA.

Leo Hers akiwa South Africa, ameshuhudia derby kati ya Kaizer Chief na Orlando pirates akiwa pamoja na Rais wa FIFA, Pamoja na Rais wa CAF.

Kitu alichokosea, ameanza kuwasimulia jinsi Yanga ilivyomfunga Simba goli 5.

Rais wa CAF amecheka, Rais wa FIFA amempigia salute.

Utani wetu wa jadi ubaki nyumbani si kimataifa. Kulikuwa na haja gani kusema Simba alifungwa 5 mbele ya Rais wa FIFA?.

Mbona hajawataja KMC?

Ameidhalilisha Simba kimataifa...na inaweza kuwa na athari hasi kwa Simba kama ikitokea fursa kutoka juu

Video clip kwa comment [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji849][emoji849]View attachment 2811096
Tukisema mkisaidiwa na serikali mnatumia nguvu kubwa kuingia AFL mnabisha na tukisema nyuma ya zile goli 5 kulikuwa na mkakati maalumu wa muda mrefu ili kuprove a point kwa hao CAF na FIFA mnakuwa hamuelewi kabisa.
 
AFL timu zinaingia kwa vigezo je hilo utaki kuliamini? Yanga itacheza AFL kwa ubora wao na sio kwa kubebwa wala kwa maombi. Mikakati ya Simba kufungwa tano imefanywa na Simba wenyewe kwani kuna kiongozi wa Yanga aliyehusika kuisajilia wachezaji Simba? Timu imecheza michezo takribani 12 lakini wameambulia clean sheet 2 tu halafu unategemea nini? Bila ya kujifunga power dynamo leo hii mngekuwa wapi?
 
Umekariri hayo mambo ya clean sheet. Tabora, Mashujaa, Coastal, Geita, Kagera, JKT wote wana clean sheet kuzidi Simba ila hizo timu ziko nafasi za ngapi na zimeizidi Simba point ngapi?

Kwa taarifa yako, hakuna timu imepigiwa chapuo na serikali ya nchi yake iingizwe AFL kama ilivyofanyiwa Yanga.
 
Hawa ni Mbu Mbu mbu
 
Hata ligi huijui kumbe
JKT kafungwa mechi tatu anakuaje na clean sheet?
Coastal union amefungwa mechi nne, clean sheet hapo amepata wapi?
Mashujaa kafungwa michezo minne
Kagera kafungwa michezo mitatu
Geita kafungwa michezo minne hizo clean unahesabia vipi? Au hujui maana ya clean sheet?
 
Wewe ndiyo hujui maana ya clean sheet au unadhani clean sheet ni mpaka timu ishinde hiyo mechi?
 
AFL timu zinaingia kwa vigezo je hilo utaki kuliamini? Yanga itacheza AFL kwa ubora wao na sio kwa kubebwa wala kwa maombi. Mikakati ya Simba kufungwa tano imefanywa na Simba wenyewe kwani kuna kiongozi wa Yanga aliyehusika kuisajilia wachezaji Simba? Timu imecheza michezo takribani 12 lakini wameambulia clean sheet 2 tu halafu unategemea nini? Bila ya kujifunga power dynamo leo hii mngekuwa wapi?
AFL ni mashindano ya ovyo
Leo ni fainal na imepoa watu hawaju
Wewe unajivunia AFL mashindano ya kuteuliwa

Mbumbumbu ukila tano unaanza kubweka kama mbweha

Sajili team bora
Badilisha katiba
Mpate viongozi bora

Mbumbumbu nani aliwaroga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuonesha goli 5 ni popote tu inaruhusiwa, Cheki Mh Waziri akifanya yake!!
 
Attachments

  • 5533251-27590217b386cbb99c572fc281db8074.mp4
    11.9 MB
😂😂😂 kinachochekesha ni Infantino haijui yanga, ikabidi wajieleze kuwa wao wanavaa rangi za Njano na kijani.
Binafsi namuona Hersi kama mpumbavu analazimisha recognition, atulie recognition itakuja yenyewe.
Infantino anazindua Kituo cha TFF akajipeleka mtu unajiuliza kituo cha TFF na yanga vinahusiana nini?
Hii pia kajipeleka kusema tuliifunga Simba tano, why uforce Vitu? Analazimisha kuonekana ni timu kubwa na ni kwa mara ya kwanza wanacheza Group stage after 25 yrs.
Atulie, anavyolazimisha vitu werevu watampuuza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kinachochekesha ni Infantino haijui yanga, ikabidi wajieleze kuwa wao wanavaa rangi za Njano na kijani.
Binafsi namuona Hersi kama mpumbavu analazimisha recognition, atulie recognition itakuja yenyewe.
Infantino anazindua Kituo cha TFF akajipeleka mtu unajiuliza kituo cha TFF na yanga vinahusiana nini?
Hii pia kajipeleka kusema tuliifunga Simba tano, why uforce Vitu? Analazimisha kuonekana ni timu kubwa na ni kwa mara ya kwanza wanacheza Group stage after 25 yrs.
Atulie, anavyolazimisha vitu werevu watampuuza.
Sawa Mr kolo
 
😂😂😂 kinachochekesha ni Infantino haijui yanga, ikabidi wajieleze kuwa wao wanavaa rangi za Njano na kijani.
Binafsi namuona Hersi kama mpumbavu analazimisha recognition, atulie recognition itakuja yenyewe.
Infantino anazindua Kituo cha TFF akajipeleka mtu unajiuliza kituo cha TFF na yanga vinahusiana nini?
Hii pia kajipeleka kusema tuliifunga Simba tano, why uforce Vitu? Analazimisha kuonekana ni timu kubwa na ni kwa mara ya kwanza wanacheza Group stage after 25 yrs.
Atulie, anavyolazimisha vitu werevu watampuuza.
Nakazia. Angeweza kuwatumia hata whatsapp message ila inaonyesha huwa wana mbluetick akaona ngoja awafuate huko huko
 
Eng . HERS AMEKOSEA SANA.

Leo Hers akiwa South Africa, ameshuhudia derby kati ya Kaizer Chief na Orlando pirates akiwa pamoja na Rais wa FIFA, Pamoja na Rais wa CAF.

Kitu alichokosea, ameanza kuwasimulia jinsi Yanga ilivyomfunga Simba goli 5.

Rais wa CAF amecheka, Rais wa FIFA amempigia salute.

Utani wetu wa jadi ubaki nyumbani si kimataifa. Kulikuwa na haja gani kusema Simba alifungwa 5 mbele ya Rais wa FIFA?.

Mbona hajawataja KMC?

Ameidhalilisha Simba kimataifa...na inaweza kuwa na athari hasi kwa Simba kama ikitokea fursa kutoka juu

Video clip kwa comment [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji849][emoji849]View attachment 2811096
Huna jipya utani ni kokote ukiona unaumia shabikia timu inayoshinda kama mimi tu ukianza kuweka simba au yanga akilini ndio unachanganyikiwa unaongea urojo kama huu hao fifa wenyewe hawajakasirika ww mangungo kijampile unawashwa ukiwa wapi sjui
 
Eng . HERS AMEKOSEA SANA.

Leo Hers akiwa South Africa, ameshuhudia derby kati ya Kaizer Chief na Orlando pirates akiwa pamoja na Rais wa FIFA, Pamoja na Rais wa CAF.

Kitu alichokosea, ameanza kuwasimulia jinsi Yanga ilivyomfunga Simba goli 5.

Rais wa CAF amecheka, Rais wa FIFA amempigia salute.

Utani wetu wa jadi ubaki nyumbani si kimataifa. Kulikuwa na haja gani kusema Simba alifungwa 5 mbele ya Rais wa FIFA?.

Mbona hajawataja KMC?

Ameidhalilisha Simba kimataifa...na inaweza kuwa na athari hasi kwa Simba kama ikitokea fursa kutoka juu

Video clip kwa comment [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji849][emoji849]View attachment 2811096
Simba walimdanganya sana Rais wa Fifa alipozindua S.League.

Jana kamkumbusha Hersi kuhusu Derby, matokeo vip?

Hersi ksonesha Mkono[emoji1787]
 
Ni swala la kikanuni timu ya ugenini kukagua uwanja siku ya mchezo husika. Pia hiyo ilikua mechi kubwa ya mahasimu.
Yanga wamewekeza nguvu zao kwenye sayansi bora ya mpira kama vifaa vya mazoezi, camp nzuri, benchi nzuri la ufundi na uongozi bora.
Kama huoni kuhusu hili basi uwezo wako wa utambuzi unatatizo kubwa
Inamana na kupita mlango tofauti ni sayansi au kiujumla Kwa anayezijua Simba na Yanga kuhusu uchawi hawezi bishana zile timu zote zinaloga na ndio sababu unaona zina hatua haziwezi fika mbali sababu uchawi sio kila mtu unaweza kumkamata
 
Back
Top Bottom