OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Taarifa za ndani ya Yanga nilizotaarifiwa ni kuwa Eng Hersi Said ndiye anayemlazimisha Nabi kumchezesha Feisal na Aziz Ki kwa pamoja, hataki kuona mmoja anaanzia Benchi.
Hersi ndiye aliyemwambia Nabi kuwa Feisal na Aziz awatumie wote kwa pamoja atajua yeye atakavyowatumia lakini lazima waanze kwa sababu Feisal ni Senior Player wa Yanga na Aziz ni mchezaji anayelipwa pesa nyingi sana na Usajili wake umegharimu hela nyingi mno.
Mashabiki wengi wanamlaumu Nabi kwamba amrudishe Bangala namba 6 hawajui kuwa Uongozi wa Yanga umempa Mashariti ya lazima Feisal na Aziz Ki wacheze dakika zote.
Mpira wetu Bongo hauendelei kwa sababu ya viongozi. Viongozi huingilia Majukumu ya Kocha, Nabi anajua kabisa Bangala anafaa kucheza namba 6 lakini hana namna sababu akimchezesha Bangala namba 6, Aucho namba 8 maana yake Aziz na Feisal lazima mmoja aanzie Benchi jambo ambalo Hersi hataki kabisa kusikia.
Kikosi kitakachoenda Khartoum kuivaa Al Hilal ni hiki hiki kilichonusurika kupigwa kwa Mkapa, yaani Bangala anakaa Beki wa Kati, 6 Aucho, 8 Feisal, 10 Aziz Ki hivyo ndio anataka Rais wa Yanga.
My Take
Iwe mvua iwe jua kesho ndiyo mwisho wa mpira wa mdomoni.