Hersi anampangia kocha kikosi, kesho kunyamazishwa

Kocha anatakiwa achezeche washambuliaji wa 2 Makambo na Mayele na kiuongo namba 8 Aziz k, Feisal asibili nje kwanza

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kolowizad at work, utakufa siku si zako wewe vinginevyo utavalishwa dela maana unapenda umbea umbea kama wanawake, Eng.anawakosesha raha sana na bado mtaongea mengi
Sasa kama amezinyaka za uvunguni asiseme kisa aogope kuitwa mmbea na matopolo ?
 
Labda group la damu, tenq group O
Uzuri hata wewe huna uhakika kama Yanga atashindwa kutinga group stage ndiyo maana umetumia neno labda.
Nikuhakikishie tu Yanga itatinga CAF group Stage ya Champions League na kukuacha wewe ukihangaika na grroup lako la damu
 
Yani Rais wa timu ya Yanga anahojiwa kuhusu safari ya tim na mchezo wenyewe wa kesho!?! Hii inapatikana Tanzania pekee au labda na Africa.
 
Umbumbumbu ni mzigo mkubwq sana
 
NAOMBA JUMAPILI TUACHE USIMBA NA UYANGA TUIOMBE AL- HILAL IKAFUZU HATUA YA MAKUNDI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji736][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Comments zako huwa zinanirahisha sana. Inabidi niku follow tu hakuna namna
 
Mwanaume mzima kua mmbea ni hatari kwa afya yako
 
Taabu ipo pale pale. Watu pekee wanaoweza kuisaidia Yanga kukwepa kichapo Sudan ni Chama, Phiri, Okrah, Joash Onyango (babu), Inonga hata Kibu Denga
Kwahiyo tuwaazimishe? Hahahaha
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…