luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hujui kitu wewe! Mo amewahi amisha makombe yote akaweka ofisin kwakeAh mbona inasemekana ilo kombe lina ishi pale salamanda...........
Ww ulishawahi kumuon Mo amepiga na kombe la ASFC. Akiwa ofisi kwake ? Janja janja sanaa hawa wazee wa salamanda
Kvipi sheikh wangu ebu fafanua kidogo maana nahisi hata wewe uliyeandika hujaelewaSimba watajuta kwanini walishirikiana na Makonda kumuondoa Manji.
Simba inakwenda kulipa gharama kubwa sana Kwa waliyo yatenda katika mpira wa nchi hii.
Sioni mwana simba akiisemea njema Yanga, kwa mtu mwenye busara zake akilijua hilo, anakuwa anajitambuasasa hapa Mo na Simba wameingiaje
Vyovyote iwavyo.hii ni taarifa au hoja?
Mpaka aeleze GSM kaingiaje kwenye hoja yake. Mgombea ni HersiHoja zake mtajibu muda gani
wewe na Hersi mna pigo za kidemuVyovyote iwavyo.
MAKOLO mtateseka sana mwaka huu,mpka mjinyonge ndo tutawaachaTukisema tunaonekana wabaya au tuna chuki, mgombea ameenda kuomba kura akiwa na kombe la ubingwa.
Kwahiyo Klabu imetoa authorization kwamba huyu ndiyo Rais na sio mgombea.
Kama hivyo ndivyo manake wale alowataja akiwaombea kura jana ama kuongozana nae nao wamebarikiwa na klabu?
Huu uchaguzi una ukiukwaji mkubwa sana ila kwakuwa tu watu wengi ni waoga wanaishia kusemea pembeni.
Kombe ni mali ya klabu haipaswi kutumika na mtu (mgombea) mmoja katika kutafuta namna ya kuingia madarakani, hatakama uko peke yako, inawezekana bado wapiga kura wangeweza kupiga kura za hapana. Unaenda na kombe ili kuonyesha nini?
Jana nilimsikia Afisa mhamasishaji kwamba hajaenda kwenye kampeni za marafiki zake kwakuwa yeye kama sehemu ya sekretarieti hawapaswi kuwa na upande.
Busara hiyo hiyo ya sekretaieti ingetumika kumnyima kombe mgombea. Ila kwakuwa tunaishi kwenye nchi ambayo UCHAWA ndiyo kilakitu tunaona kawaida tu.
NB: Huwezi kuelewa hii kama akili yako inatosha kuingia chooni ukatoka hujajichafua.
BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
Hamuwezi kukataa jamaa kawashika kila konaWanaYanga wenyewe wameridhia, ila Makolo sasa!
Endeleeni kulamba viatu vya "Mwamedi"
Hivi Jemadari Said ni mchambuzi wa soka au mpinzani wa Yanga?Kila anachoandika Jemedari unakileta hapa
Akili ndogo sana. We mavi tuwewe na Hersi mna pigo za kidemu
Sio kweli ww, kilichotokea ni hiki kaka, pale msimbazi majengo yote yamekodishwa kwa ajili kugenerate income.. sasa kwa kuwa ofisi ina watendanji wapya wengi ikabidi watafutiwe new place ambapo watafanya kazi ktk mazingira tulivu sio kama ya pale kkoo, sote tunajua pale palivyo ..na ndio maana unaona pale sasa almost jengo zima lina wapangajiHujui kitu wewe! Mo amewahi amisha makombe yote akaweka ofisin kwake
Lakn anamkaza babra sio mm maneno ya GENTAMYCINE shabiki lia Lia wa Simba amelisema hiliwewe na Hersi mna pigo za kidemu
B 20 wanaumia saana. Wameacha kufatilia yanayohusu timu yaoHamuwezi kukataa jamaa kawashika kila kona
Manara alisema yanga yote hamna akili,ni wajibu wetu wapenda soka kuwasanuaAnayeumia roho aanzishe timu yake aiendeshe apendavyo.