Hersi kutumia kombe kuombea kura! Kombe ni mali ya club au GSM?

Hersi kutumia kombe kuombea kura! Kombe ni mali ya club au GSM?

Ah mbona inasemekana ilo kombe lina ishi pale salamanda...........

Ww ulishawahi kumuon Mo amepiga na kombe la ASFC. Akiwa ofisi kwake ? 😀😀😀😀 Janja janja sanaa hawa wazee wa salamanda
 
Ah mbona inasemekana ilo kombe lina ishi pale salamanda...........

Ww ulishawahi kumuon Mo amepiga na kombe la ASFC. Akiwa ofisi kwake ? Janja janja sanaa hawa wazee wa salamanda
Hujui kitu wewe! Mo amewahi amisha makombe yote akaweka ofisin kwake
 
Simba watajuta kwanini walishirikiana na Makonda kumuondoa Manji.
Simba inakwenda kulipa gharama kubwa sana Kwa waliyo yatenda katika mpira wa nchi hii.
Kvipi sheikh wangu ebu fafanua kidogo maana nahisi hata wewe uliyeandika hujaelewa
 
Mimi nachojua kombe ni la gsm na kupitia hersi walituambia wakilikosa tuwaulize wao. Walipolikosa tukawauliza wakatuambia tusubiri msimu ujao. Ssa wamelipata unataka wampe nani kama sio kubaki nalo wao wenyewe waliolitafuta? Hersi yupo sahihi lile kombe wamelinunua kwa pesa yao na siyo yanga.
 
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.

Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.

“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga

Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
 
Tukisema tunaonekana wabaya au tuna chuki, mgombea ameenda kuomba kura akiwa na kombe la ubingwa.

Kwahiyo Klabu imetoa authorization kwamba huyu ndiyo Rais na sio mgombea.

Kama hivyo ndivyo manake wale alowataja akiwaombea kura jana ama kuongozana nae nao wamebarikiwa na klabu?

Huu uchaguzi una ukiukwaji mkubwa sana ila kwakuwa tu watu wengi ni waoga wanaishia kusemea pembeni.

Kombe ni mali ya klabu haipaswi kutumika na mtu (mgombea) mmoja katika kutafuta namna ya kuingia madarakani, hatakama uko peke yako, inawezekana bado wapiga kura wangeweza kupiga kura za hapana. Unaenda na kombe ili kuonyesha nini?

Jana nilimsikia Afisa mhamasishaji kwamba hajaenda kwenye kampeni za marafiki zake kwakuwa yeye kama sehemu ya sekretarieti hawapaswi kuwa na upande.

Busara hiyo hiyo ya sekretaieti ingetumika kumnyima kombe mgombea. Ila kwakuwa tunaishi kwenye nchi ambayo UCHAWA ndiyo kilakitu tunaona kawaida tu.

NB: Huwezi kuelewa hii kama akili yako inatosha kuingia chooni ukatoka hujajichafua.

BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
MAKOLO mtateseka sana mwaka huu,mpka mjinyonge ndo tutawaacha
 

Attachments

  • IMG_20220705_083819.jpg
    IMG_20220705_083819.jpg
    31.5 KB · Views: 3
Hujui kitu wewe! Mo amewahi amisha makombe yote akaweka ofisin kwake
Sio kweli ww, kilichotokea ni hiki kaka, pale msimbazi majengo yote yamekodishwa kwa ajili kugenerate income.. sasa kwa kuwa ofisi ina watendanji wapya wengi ikabidi watafutiwe new place ambapo watafanya kazi ktk mazingira tulivu sio kama ya pale kkoo, sote tunajua pale palivyo ..na ndio maana unaona pale sasa almost jengo zima lina wapangaji

Na Mo huwa hazunguki na kombe kama dogo wa MSG, ana kwenda na kombe mpaka studioo ?.imagineeee
 
Yanga ina makombe 28+ hakuna mgombea alie zuiliwa kutembea na kombe aende tu pale makao makuu apatiwe azunguke nalo wala hajavunja sheria yoyote
 
Aaaah!!! kumbe lipo kwa President Hersi,,,, Lipo kwenye Mikono swalama kabisa Sheikh wangu
 
Back
Top Bottom