Hersi kutumia kombe kuombea kura! Kombe ni mali ya club au GSM?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Tukisema tunaonekana wabaya au tuna chuki, mgombea ameenda kuomba kura akiwa na kombe la ubingwa.

Kwahiyo Klabu imetoa authorization kwamba huyu ndiyo Rais na sio mgombea.

Kama hivyo ndivyo manake wale alowataja akiwaombea kura jana ama kuongozana nae nao wamebarikiwa na klabu?

Huu uchaguzi una ukiukwaji mkubwa sana ila kwakuwa tu watu wengi ni waoga wanaishia kusemea pembeni.

Kombe ni mali ya klabu haipaswi kutumika na mtu (mgombea) mmoja katika kutafuta namna ya kuingia madarakani, hatakama uko peke yako, inawezekana bado wapiga kura wangeweza kupiga kura za hapana. Unaenda na kombe ili kuonyesha nini?

Jana nilimsikia Afisa mhamasishaji kwamba hajaenda kwenye kampeni za marafiki zake kwakuwa yeye kama sehemu ya sekretarieti hawapaswi kuwa na upande.

Busara hiyo hiyo ya sekretaieti ingetumika kumnyima kombe mgombea. Ila kwakuwa tunaishi kwenye nchi ambayo UCHAWA ndiyo kilakitu tunaona kawaida tu.

NB: Huwezi kuelewa hii kama akili yako inatosha kuingia chooni ukatoka hujajichafua.

BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
 
Tukisema tunaonekana wabaya au tuna chuki, mgombea ameenda kuomba kura akiwa na kombe la ubingwa...
Kwani Bin Zumari hawezi kuandika bila kuweka uswahili? Eti uchawa!!! Acha siasa za kuwindana
 
Tukisema tunaonekana wabaya au tuna chuki, mgombea ameenda kuomba kura akiwa na kombe la ubingwa...
Kwaiyo tukusaidieje na jemedari wako? Unawapangia yanga mambo yao? By the way wewe ni nani ndani ya yanga mpaka uumie kiasi icho?

Utahaira wenu wewe na kazumari mwenye chuki na yanga pelekeni makolo uko mambo ya yanga waachie wana yanga
 
Asilimia 49 za kila Mali ya Makolo ni Mali Kanjibhai ambaye hata 20b hakuweka.Mbona mmepiga kimya?
 
Tukisema tunaonekana wabaya au tuna chuki, mgombea ameenda kuomba kura akiwa na kombe la ubingwa.

Kwahiyo Klabu imetoa authorization kwamba huyu ndiyo Rais na sio mgombea.

Kama hivyo ndivyo manake wale alowataja akiwaombea kura jana ama kuongozana nae nao wamebarikiwa na klabu?

Huu uchaguzi una ukiukwaji mkubwa sana ila kwakuwa tu watu wengi ni waoga wanaishia kusemea pembeni.

Kombe ni mali ya klabu haipaswi kutumika na mtu (mgombea) mmoja katika kutafuta namna ya kuingia madarakani, hatakama uko peke yako, inawezekana bado wapiga kura wangeweza kupiga kura za hapana. Unaenda na kombe ili kuonyesha nini?

Jana nilimsikia Afisa mhamasishaji kwamba hajaenda kwenye kampeni za marafiki zake kwakuwa yeye kama sehemu ya sekretarieti hawapaswi kuwa na upande.

Busara hiyo hiyo ya sekretaieti ingetumika kumnyima kombe mgombea. Ila kwakuwa tunaishi kwenye nchi ambayo UCHAWA ndiyo kilakitu tunaona kawaida tu.

NB: Huwezi kuelewa hii kama akili yako inatosha kuingia chooni ukatoka hujajichafua.

BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
Bw Kazumari YANGA ni dude kubwa sana huwezi kushindana nalo hata siku moja,Kama MO na mabilioni yake anashindwa wewe kajambanani utaweza nini?
Ili kukuongezea maumivu Eng. Hersi tutampa kura zote
 
Hoja zake mtajibu muda gani
 
Bw Kazumari YANGA ni dude kubwa sana huwezi kushindana nalo hata siku moja,Kama MO na mabilioni yake anashindwa wewe kajambanani utaweza nini?
Ili kukuongezea maumivu Eng. Hersi tutampa kura zote
Daaah! Wana Yanga, wanafanana Nchi nzima!
 
Back
Top Bottom