Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Nimefurahishwa na kaka yangu eng HERSI MUNGU akutangulie na akulinde na husda au wazee wa roho mbaya, wasiopenda mafanikio ya wengine.
Nilicho jifunza unaeza kua na taaluma Yako tu lakini ukaongezea mambo mengine, kozi ni nyingi mno mitandaoni siku hizi, beba hata certificate ya uandishi na utangazaji, ili hata kesho Sheria ziki kazwa mitandaoni, kwenye kurusha matangazo mbalimbali una chomoka shwaaaaaaa.