Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe

Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe

Rais wa Yanga, Engineer Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe kwenye mechi ya Tatu kwenye kundi A michuano ya CAF Champions League.

Yanga kwasasa anabuluza mkia kwenye kundi hilo akiwa na alama 1 na walianza vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo
View attachment 3177173
View attachment 3177174
Kikosi cha Yanga kimefika Salama Tanzania mapema asubuhi ya leo, Desemba 15 kwa ajili ya maandalizi ya mechi zingine zilizombele yao
View attachment 3177180View attachment 3177181
View attachment 3177204
Huyo ndiyo alikuwa anasema Yanga ya Gamond utaifungaje?..
 
Ataongea nini wakati anajua shida yote hii kaileta yeye? Binadamu tumeumbiwa sura ya aibu.

Mechi 3 point 1? Yanga hii iliyovitoa jasho vilabu kongwe Afrika misimu mitatu mfululizo?
Hii ni fedheha, na lawama zote ni kwa Hersi kwa kumuondosha Gamondi.

Lakini ni vyema haya yametokea ajirekebishe ingali mapema, Hersi mabega yalishazidi kichwa!
Bado wana nafasi
 
Mzee wa Macamera leo hii hataki kuongea?

Mpenda sifa leo hataki sifa
 
Back
Top Bottom