Ataongea nini wakati anajua shida yote hii kaileta yeye? Binadamu tumeumbiwa sura ya aibu.
Mechi 3 point 1? Yanga hii iliyovitoa jasho vilabu kongwe Afrika misimu mitatu mfululizo?
Hii ni fedheha, na lawama zote ni kwa Hersi kwa kumuondosha Gamondi.
Lakini ni vyema haya yametokea ajirekebishe ingali mapema, Hersi mabega yalishazidi kichwa!