Hersi Said: Vipaumbele vyangu nikiwa Rais wa Yanga

Hersi Said: Vipaumbele vyangu nikiwa Rais wa Yanga

JOYOPAPASI

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
250
Reaction score
409
VIPAUMBELE VYANGU ENG HERSI SAID NIKIWA RAIS WA YANGA

(1) MIUNDOMBINU YA KLABU

(a) Ujenzi wa uwanja wa mechi wenye uwezo wa kubeba watu 20,000-KAUNDA JANGWANI.
(b) Marekebisho ya jengo la klabu-JANGWANI
(c) Kuendeleza TRAINING CENTRE-KIGAMBONI

(2) MABADILIKO YA MUUNDO WA KLABU

Klabu yetu kupitia kwa wanachama walipitisha mfumo wa mabadiliko, Nikiwa mmoja waumini wa mabadiliko hayo, naahidi kuyasimamia na kuyaendeleza mabadiliko hayo kwa mujibu wa KATIBA YETU.

(3) KUIMARISHA UCHUMI wa klabu


Kupitia kwa miradi ya usajili wa wanachana.

Kupitia kwa miradi ya usajili wa washabiki Kuvutia Wadhamini mbali mbali.

Kuvutia wawekezaji.

(4) KUJENGA KIKOSI IMARA CHA KULETA MATAJI NA FURAHA KWA WANA YANGA

(a) LIGI KUU
(b) FA CUP
(c) NGAO YA JAMII
(d) MASHINDANO YA KIMATAIFA

(5) KUJENGA TIMU IMARA, TIMU ZA VIJANA NA WANAWAKE


(a)U-17
(b)U-20
(c) YANGA PRINCESS

(6)
Kuongeza USHIRIKIANO baina ya KLABU na wanachama na mashabiki wake, wadau mbali mbali ikiwemo idara za serekali, sekta binafsi, waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla.

Mwanachama wa @yangasc kwa heshima na taadhima naomba KURA YAKO ya NDIO![emoji736]

Vijana Ni Wakati wa Mabadiliko.

Twendeni Pamoja #Eng:Hersi Saidi.
IMG_20220706_123450_278.jpg
Screenshot_20220706-112740_1.jpg
Screenshot_20220706-112856_1.jpg
 
wabongo tunapendaga maneno mazuri kutoka kwa wagombea.hakika haya ni naneno nzuri kutoka kwa injinia.
 
Wacha Mbweha waendelee kubweka, we Eng. Songs mbele usiwasikilize, sisi wananchi tunakuelewa sana.
 
wabongo tunapendaga maneno mazuri kutoka kwa wagombea.hakika haya ni naneno nzuri kutoka kwa injinia.
Wewe endelea kupenda maneno ya uongo kutoka ukoloni sc kutoka kwa Bi chausiku, sisi tunakuelewa Mhandisi Hersi Said. Go go go Rais mtarajiwa Kira zote kwako, ututegenezee klabu yetu itishe barani afrika na duniani kwa ujumla.
 
Tunasonga na engineer he deserves, katufuta aibu hakulala popote ilipo yanga alikesha nayo, wanayanga tumlipe kura Rais wa klabu yetu ya yanga
 
Back
Top Bottom