Herstory to history (prehistory to 1st dynasties)

Herstory to history (prehistory to 1st dynasties)

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,571
Reaction score
3,448
Hii ni simulizi ya ulimwengu wetu kabla ya utawala wa kwanza kuanza kuutawala ulimwengu wetu 7000BC. simulizi hii inaelezea jinsi gani ulimwengu wetu ulikuwa before the 1st Egypt civilization. Inaelezea kiundani ni nini kilitokea eden mpaka kufukuzwa. Pia inaelezea kiundani jinsi ulimwengu ulichange from vegan based societies to hunting based societies ambapo wanawake ndo walikuwa wenye nguvu wakijihusisha na kila kitu lakini ilipofika 7000BC ndipo wanaume walipotake control ya dunia yetu mpk sasa

Pia utaona kuwa ulimwengu wa ancient walikuwa wako more advanced kuliko sisi utashangaa kujua kuwa unwritten history ina mengi zaidi kuhusu binadamu.... Kwenye pyramid kuna mwili wa queen wenye miaka 800000 Pia huu sio mwaka 2018 but ni fixing tu zilichezeka hapo..... Alafu pia egypt civilization bado ipo na ina nguvu na inatawala kwa kutumia VATICAN, NEW YORK,LONDON (OBELISK zilizoko katika miji hii zlzimetolewa egypt na hazijawekwa bahati mbaya)

⭕⭕⭕⭕⭕⭕⭕⭕
Don't be in a hurry to condemn because one doesn't do what you do or think as you think or as fast. There was a time when you didn't know what you know today. The world didn't start to make sense until unlearned everything I was taught about it. The illiterate of the 21st century will not be those who cannot read and write, but those who cannot learn, unlearn, and relearn. [HASHTAG]#YouTube[/HASHTAG] [HASHTAG]#VideoHerstory[/HASHTAG] to Hisstory 1: The Exodus from "Eden" & The Rise of the 1st Dynasties#HeavenOnEarth

This video is part 1 of an introductory overview that will attempt to explain the history of government & the New World Order starting from Pre Dynastic times up until the 1st ruling Dynasties. This video will reveal one of the greatest deceptions of all time by explaining how time was manipulated, why the timeline was split BC/AD & the TRUE ORIGINS OF HUMANITY. Evolution is a Darwinian philosophy rooted in racism. We are taught to believe that it is really year 2018 right now and that prior to [HASHTAG]#7000[/HASHTAG] .

years ago humans were bow & arrow carrying apes! We are really taught believe that civilization just popped up in the desert 7000 years ago because of some bogus king named Narmer/Menes/Atum or Minos. Greece & Egypt have many secrets regarding their true origins & the secret societies of world created evolution to hide our true human origins behind ape stories. The timeline was split because a new calendar was made when the first royal families assumed their thrones.

The first civilizations on earth were vegan based gardening socieities that vanished with the rise of the 1st hunting civilizations. This video explains how & why we were literally kicked out of "The Garden of Eden". This video also explains how the very first wars on earth played crucial roles in shaping the world we currently live in. There's so much to learn so let's get's started! Enjoy the video much love!.

video ziko nyingi sana jamaa anaitwa bro sanchez amejitahidi kufungua njia ya kufahamu mengi sana kuhusu ancient Egypt
Unhidden truth about human species.

Nb.mimi ni kizazi kipya cha jamii intelligence baada ya kile kizazi cha ma geneous kina pasco mayala, Kiranga C.T.U na wengine kutufungulia njia na kuamua kutuachia uwanja huu wa intelijensia. Polepole tutatifikia level yao
 

Attachments

  • shermanstoy-20180706-0001.jpg
    shermanstoy-20180706-0001.jpg
    93.4 KB · Views: 57
  • lightisconsciousness-20180708-0001.jpg
    lightisconsciousness-20180708-0001.jpg
    65 KB · Views: 58
  • mclean.darlene-20180707-0001.jpg
    mclean.darlene-20180707-0001.jpg
    34.6 KB · Views: 56
  • mclean.darlene-20180706-0001.jpg
    mclean.darlene-20180706-0001.jpg
    43.6 KB · Views: 58
Eden is neither history, nor prehistory.

It is a myth.
 
Eden is neither history, nor prehistory.

It is a myth.
Hata kwenye video imezungumzia eden kama myths inayoficha ukweli wa transformation iliyojitokeza katika human reality....
 
Hata kwenye video imezungumzia eden kama myths inayoficha ukweli wa transformation iliyojitokeza katika human reality....
Hapo nakubali.

Namsoma mwana anthropology Claude Levi-Strauss katika kijitabu chake"Myth and Meaning".

Kuna siku nilikaa na rafiki zangu wasomi wa Ph.D za saikolojia, nikawa naponda myths, lakini wao wakawa kama wananishangaa sijaelewa umuhimu wa myths (kwenye saiklojia zinathaminiwa zaidi ya kwenye the so called "hard sciences").

Myths zina umuhimu wake up to a point, kuzikataa kabisa si sawa, pia ukizikubali sana na kuzipa umuhimu zaidi ya inavyotakiwa unazipaza isivyotakiwa.

Natumaini kwa kumsoma Levi-Strauss na kijitabu chake, nitapata kuelewa zaidi umuhimu wa myths na kupunguza bias yangu ya kuona myths kama primitive stories (Levi-Stauss anaanza kwa kuonya dhidi ya bias hii) lakini pia kama kuna points za kuzikweza myths isivyo, nataka kuzijua.

mike2k
 
Daah haya mambo yanaitaji utulivu wa Hali ya juu umakini kuchunguza na kuyachambua mambo kiundani zaidi lakini kuna mengi sana kati ya Egypt na Vatican.
 
Hapo ndio mnazidi kunivuruga zaidi nakosa cha kushika
 
Hapo nakubali.

Namsoma mwana anthropology Claude Levi-Strauss katika kijitabu chake"Myth and Meaning".

Kuna siku nilikaa na rafiki zangu wasomi wa Ph.D za saikolojia, nikawa naponda myths, lakini wao wakawa kama wananishangaa sijaelewa umuhimu wa myths (kwenye saiklojia zinathaminiwa zaidi ya kwenye the so called "hard sciences").

Myths zina umuhimu wake up to a point, kuzikataa kabisa si sawa, pia ukizikubali sana na kuzipa umuhimu zaidi ya inavyotakiwa unazipaza isivyotakiwa.

Natumaini kwa kumsoma Levi-Strauss na kijitabu chake, nitapata kuelewa zaidi umuhimu wa myths na kupunguza bias yangu ya kuona myths kama primitive stories (Levi-Stauss anaanza kwa kuonya dhidi ya bias hii) lakini pia kama kuna points za kuzikweza myths isivyo, nataka kuzijua.

mike2k

Ni kweli mkuu.
Myths huwa nazitumia pale ninapokuwa naeleza kitu kwa mtu ambaye ana uelewa mdogo kabisa kuhusiana na jambo fulani.

Myths sizitumii kabisa na ninaziona za ovyo pale ninapokuwa nnaeleza kitu kwa watu ambao ni free thinkers kama wewe.

Mfano hadithi nyingi za biblia ni myths lakini ukiwa unajaribu kueleza kitu kwa mtu wa kawaida ukimwambia kuwa mfano story ya eden ni ya kutunga hatokuelewa kabisa Kiranga.
Ila unaanza naye mdogomdogo baadae sasa akishapata picha halisi ya concept yako ndo unamfungukia sasa kuwa story za biblia ni myths na zilikuuwepo hata kabla ya uandishi wa kitabu hicho.
Biblia imekuwa mwongozo wa watu wengi duniani ukimwambia ni kitabu chenye hadith za kutunga hatosikiliza hoja zako kabisa.
 
Back
Top Bottom