Herufi R na L ni tatizo kwa Rais wetu, tumsaidie

Ndiyo ni tatizo la kitaifa! Mfano utamsikia Mh. Halima Mdee na wenzake wanasema "kuna mambo ya HOVYO" Badala ya kusema "kuna mambo ya OVYO"! Pia utasikia karibu robo ya watanzania wakisema "NANILII"?? ¿?.
Naniliu[emoji16][emoji16][emoji16]au lisaa[emoji16][emoji16]
 
Praise team watakuja kumtetea. Wao kila jambo wanamtetea hata kama la kijinga.
Wewe na mtoa mada ni hovyp kabisa!!!

Mmesoma shule kweli nyie??? Lugha mlifundishwa???

Mnashindwa hata kuuliza kwa wanafunzi wa kidatp cha nne kuhusu angalau tu hata kujua lahaja ???

Kajifunzeni maana ya Accent!
 
Akili kisoda vichwa tembo. Hii n athari za kikabila, sasa unajiuliza kuna umuhimu gani wa kwenda shule?
Tatizo lenu mnashikiwa akili. Mnaenda shule lakini ujinga hauwatoki, maskini. Mbona hata wazungu tunawasikia wakisema "garra go now" lakini kimaandishi linaandikwa "got to go now"?. Ama UK wakiongea kama neno lina harufi T kati basi unaweza ukawa usiisikie kabisa T lakini kwenye uandishi T inakuwepo.

Rudi tena shule...
 
Wewe na mtoa mada ni hovyp kabisa!!!

Mmesoma shule kweli nyie??? Lugha mlifundishwa???

Mnashindwa hata kuuliza kwa wanafunzi wa kidatp cha nne kuhusu angalau tu hata kujua lahaja ???

Kajifunzeni maana ya Accent!
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Hili unalolalamikia wewe unaona ni la msingi kweli na akili zako mbwa wewe r au l inakupunguzia nini ktk maisha yako?
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Heri yetu sisi Wapare wenye "th" na "dh" inatusaidia kwenye kiingeredha
 
Usukuma usitumike kama excuse. Akina Pascal Mayalla ni wasukuma humu mbona wanaandika vizuri?
Kuandika na kutamka ni Vitu viwili tofaut kuna kabila linamaprofesa kibao WA kiswahili lkn hawajui kutamka ng'ombe linatamka ngombe nyie Kama mnataka ajenda nyuma ya pazia juu ya awamu ya tano wekeni wazi, acheni kujificha kwenye ukosoaji wa vitu vidogo km Hivi ni ujinga mtupu
 
Hayo ni mengine ya kwako Bro, Mimi nazungumzia hizi herufi mbili, L na R. Naomba wahusika wafanye juu chini wahakikishe anaondokana na hili tatizo kwa manufaa na heshima kwa Nchi yetu.
Acha kumsema vibaya rais wetu bwana r na l zinafaida gani kwenye maendeleo ya nchi? Mambo hayo kuwaambie nyumbu wenzio ndio mtaelewana.
 
akili sisimizi bichwa tembo. Miguu yako inapata tabu sana kubeba pumba
 
Mdahalo, hutoamini
 
Acha kumsema vibaya rais wetu bwana r na l zinafaida gani kwenye maendeleo ya nchi? Mambo hayo kuwaambie nyumbu wenzio ndio mtaelewana.
Maendeleo ni pamoja na kuwa na watu wanaojua lugha.
 
Huwezi kupingana na nature na wala huo sio ujinga au kutokujua. Ni asili yake wote wako hivyo mkuu. Ni kawaida sana ilimradi unamuelewa muache tafadhari
Kuna haja ya kufanya overhaul ya mitaala yetu hasa kukazia swala la lugha; Kusoma, kuzungumza na Kuandika!! Watu mbumbumbu kama wewe ni hatari mno!
 
Makabila mengi sana ya kanda ya ziwa yana matatizo hayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…