Losser Bad
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 584
- 1,346
Intaplintinyuaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani unajua alikotokea mpaka akakutana na mzee Makufuli akawa babaake?Kwa hili namtetea. Wasukuma R na L ni janga. Kwa hili Rais mnamuonea.
Unaongelea maada ipi?kwani unajua alikotokea mpaka akakutana na mzee Makufuli akawa babaake?
umekosea kumtetea mimi ni msukuma pasee najua kutamka R NA L bila tatizo ndo mana nikasema fanya utafiti ujue chimbuko la alikotokea mpaka kuangukia kwa MZEE MAKUFULI na hatimae kumuita BABAKwa hili namtetea. Wasukuma R na L ni janga. Kwa hili Rais mnamuonea.
Tunaongelea uchapiaji wa kuchanganya herufi wa MALAIKA MKUU.Unaongelea maada ipi?
MKUU humu kuna wadangaji wapo kumhalalisha MALAIKA MKUU kuwa ni mtanganyika kumbe ni wa kutoka kuleee kwenye mitutu mingiLini Magufuli akawa msukuma? Ebu niambie ukoo wa wazila nkende kwa Kisukuma wanapatikana wapi?
Tusidanganyane apa..inaeleweka vizuri watu wenye tatizo la R na L ni Wahaya.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Wewe ni mzarendo kweri kweri
Cyo kwel mkuuWasukuma hawana R wanatumia L kwenye maneno yao mengi